Back to homeWatch Original
Meneja wa taasisi ya lugha za kigeni atoa wito kuondoa ushuru wa uchapishaji wa vitabu
video
June 23, 2025
26 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Katika juhudi za kuimarisha sekta ya uandishi wa vitabu nchini, Meneja wa Taasisi ya Lugha za Kigeni na Masomo ya Kitaaluma nchini Hassan Kinyua ametoa wito kwa serikali kuondoa ushuru kwa uchapishaji wa vitabu. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and eve..