Back to homeWatch Original
Washukiwa sita wa mauaji ya Ojwang wakanusha mashataka
video
June 24, 2025
25 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Washukiwa sita wa mauji ya mwalimu Albert Ojwang wamekanusha mashtaka dhidi yao . washukiwa hao akiwemo OCS wa kituo cha central Samson Talaam, wanaitaka mahakama kuwaachilia kwa dhamana..