Back to home

Wakazi wa Jacaranda, Kilifi wadai kuhangaishwa

video
July 9, 2025
11 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakaazi wa kaunti ndogo ya Kilifi Kaskazini eneo la Jacaranda wamelalamikia kuhangaishwa na bwenyenye anayewataka kuvamia kipande chao Cha ardhi akidai umiliki wake Wakaazi hao wanasema wameishi kwenye kipande hicho Cha ardhi Kwa zaidi ya miongo saba na wameshangazwa na hatua ya ..