Back to home

Wakazi wa Makueni wameelezea hofu yao kuhusu visa vya mauaji ya vijana wakati wa maandamano

video
July 11, 2025
8 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakaazi kaunti ya Makueni wameelezea hofu yao kuhusu visa vya mauaji ya vijana ambayo yanatekelezwa na maafisa wa polisi wakati wa maandamano. Wakazi hao wamewakashifu viongozi wanaowaagiza polisi kuwapiga risasi waandamanaji wakisema kuwa ingekuw abora kama viongozi wangewajibik..