Back to homeWatch Original
KNCHR: Miili ya Watu 17 waliouawa siku ya Saba Saba imefanyiwa upasuaji
video
July 15, 2025
4 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Tume huru ya haki za binadamu nchini, KNCHR, imeeleza kwamba miili ya watu 17 kati ya 38 waliouawa kwenye maandamano ya Saba Saba wiki jana imefanyiwa upasuaji. Tume hiyo imeeleza kwamba maafa ya watu hao yalichangiwa na polisi, kwani watu 37 waliaga dunia baada ya kupigwa risasi..