Back to homeWatch Original
Wakazi Wajir Kaskazini na Eldas wahudumiwa bure
video
July 17, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mamia ya wakazi wa maeneo ya Wajir Kaskazini na Eldas katika kaunti ya Wajir wamepata afueni kubwa baada ya kufanyiwa upasuaji wa macho bila malipo, kupitia kambi maalum ya siku nne ya matibabu ya macho iliyoandaliwa na shirika moja..