Back to homeWatch Original
Miundo msingi ya kufanikisha mtaala CBC haiko Busia
video
July 17, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Washikadau wa elimu katika kaunti ya Busia wanatilia shaka miundo msingi ya kufanikisha mtaala wa CBC wakati wanafunzi wa gredi ya tisa wanapojiandaa kuingia katika gredi ya kumi mwaka ujao..