Back to home

Wamaasai waandaa tamasha ya kitamaduni Kajiado

video
July 17, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Jamii ya wamaasai wametambuliwa kuenzi na kulinda mila zao tangu jadi. Jamii hii kutoka maeneo tofauti kaunti ya kajiado wamekutana eneo la purko kajiado ya kati , katika mashindano ya maonyesho ya nyimbo,densi na mapambo ya mavazi...