Back to homeWatch Original
Kina mama huko Kwale wataka serikali ziimarishe sehemu za biashara
video
July 18, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kina mama walezi waliopokea mafunzo ya kutengeneza bidhaa mbali mbali chini ya shirika moja lisilokuwa la kiserikali wameitaka serikali ya kaunti ya Kwale kuwawezesha kuimarisha biashara zao, baada ya kukabidhiwa maduka maalum ya kufanyia biashara za..