Back to homeWatch Original
DCIO wa Nairobi Central awasilisha ushahidi wa mauaji wa Rex Masai
video
July 18, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Afisa wa upelelezi wa jinai wa Nairobi Central, Tiberius Ekisa, amekana kumfahamu Isiah Murangiri, afisa wa polisi ambaye ni mshukiwa mkuu w amauaji ya Rex Masai aliyefariki kwenye maandamano ya kupinga mswada wa fedha mwaka jana jijini Nairobi. Ekisa ameieleza mahakama kuwa Isia..