Back to home

Msafara wa Mpesa Sokoni umesalia kaunti ya Nandi kwa siku ya pili

video
July 18, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Msafara wa Mpesa sokoni umekita kambi kaunti ya nandi kwa siku ya pili leo. Sherehe ya maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za M-PESA nchini ikiwafikia wateja wa Safaricom Mashinani. Safaricom imeshirikiana na kampuni ya royal media services kufanikisha shughuli hii..