Back to homeWatch Original
Msafara wa mpesa sokoni wazuru Baringo
video
July 19, 2025
about 11 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Msafara wa MPESA Sokoni katika ukanda wa Bonde la Ufa umetamatika kwa ziara ya kukata na shoka katika kaunti ya Baringo. Msafara huo umezuru zaidi ya vituo 30 katika eneo hilo kwa madhumuni ya kuadhimisha miaka 18 ya huduma za MPESA nchini. Safaricom imeshirikiana na kampuni ya R..