Back to home

Utovu wa usalama umeathiri biashara na uchukuzi Samburu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 21, 2025
3w ago
Viongozi wa Kaunti ya Samburu wameelezea wasiwasi wao mkubwa kuhusu kuzuka upya Kwa wahuni wanaolenga magari ya uchukuzi kwenye barabara kuu ya Maralal- Opiroi-Baragoi. Viongozi hao wametoa wito Kwa vyombo vya usalama kukabiliana na Hali hiyo ili kuwaondolea hofu wasafiri na made