Back to home

Idadi ya wagonjwa yaongezeka maradufu hospitali za umma Kitui

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 29, 2025
2w ago
Idadi ya wagonjwa wanaofika kutibiwa katika hospitali za Umma mjini kitui imeongezeka maradufu baada ya hospitali nyingi za kibinafsi kukosa kutibu wagonjwa wakitumia bima ya SHA.