Back to home
Wanawake wageukia ufugaji wa Chenene Laikipia
video
C
Citizen TV (Youtube)October 30, 2025
1w ago
Kundi la wanawake Katika Kaunti ya Laikipia limegeukia ufugaji wa chenene, sio tu kwa kujihakikishia mapato, bali pia kuimarisha utoshelevu wa chakula katika jamii. Wanawake hao wanatumia wadudu kuunda mfumo wa kilimo unaofanikisha kilimo mseto cha ufugaji wa kuku na ukuzaji wa m





