Back to home
Msongamano wa magari wa saa 20 washuhudiwa Nakuru
video
C
Citizen TV (Youtube)November 1, 2025
21h ago
Msongamano wa magari ulishuhudiwa kwa zaidi ya saa ishirini kwenye barabara kuu ya nakuru kuelekea eldoret. Msongamano huo ulienea kutoka eneo la sobea, mau- summit hadi timboroa.
Maafisa wa usalama wanasema kuwa msongoamano huo ulichangiwa na gari moja kuharibikia barabarani. Na



