Back to home

Wanawake waraiwa kujihusisha na uongozi kaunti ya Kilifi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 1, 2025
19h ago
Muungano wa chama cha kitamaduni cha wanawake kutoka jamii mbalimbali kaunti ya Kilifi uliandaa maonyesho ya tamaduni zao kando na kuwashinikiza kina mama kujihusisha na uongozi.