Back to home

Gachagua awashutumu viongozi wanaomuunga mkono Rais

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 1, 2025
19h ago
Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua amewashutumu viongozi kutoka Mlima Kenya wanaomuunga mkono Rais William Ruto, akisema wanasaliti jamii yao. Gachagua anadai kwamba viongozi hao wamekaa kimya wakati matusi yakielekezwa kwa viongozi wa upinzani kutoka eneo la Kati. Na huko Ki