Back to home

Waombolezaji bado wanazuru Kang’o Ka Jaramogi wakiomboleza na familia

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 1, 2025
18h ago
Maelfu ya waombolezaji wamekuwa wakiwasili katika eneo la Kang’o Ka Jaramogi, huko Bondo alikozikwa hayati Raila Amolo Odinga ili kutoa heshima zao. Watu kutoka maeneo tofauti nchini na nje ya nchi wakifika kila siku kuomboleza na familia.