Back to home

Haki za watoto huntha wanaotengwa na jamii nyingi na kuishi na unyanyapaa

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 11, 2025
3d ago
Huku mwezi wa novemba ukikusudiwa kuhamasisha umma kuhusu haki za watoto, imebainika kuwa watoto huntha katika jamii wanapuuzwa....idara ya watoto katika kaunti ya busia imesikitika kuwa watoto hao wanadhulumiwa pakubwa na jamii, licha ya katiba kuwatambua Huntha