Back to home
Asilimia 60 ya wagonjwa wa saratani wanakamilisha bima ya SHA mapema
video
C
Citizen TV (Youtube)November 11, 2025
18h ago
Asilimia 60 ya wagonjwa wanaougua saratani wanakamilisha bima yao ya SHA hata kabla ya mwaka kukamilika. Haya yamesemwa na mkurugenzi Mkuu wa Muungano wa mashirika yanayoshughulikia saratani (KENCO), Phoebe Ongadi, alipofika mbele ya kamati ya bunge kuhusu Afya. Ongadi akisema ku


