Back to home

Familia zaidi ya 25,000 zitajengewa nyumba Tana River na mhisani kutoka Canada

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 12, 2025
2h ago
Familia zaidi ya elfu ishirini na tano kutoka eneo la Habakik kaunti ya Tana River zinatarajiwa kufaidika na mradi nyumba pamoja na huduma zingine kutoka kwa mwekezaji mmoja kutoka nchini Canada.