Back to home

Wanaharakati wataka vizuizi vipunguzwe barabarani Pwani

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 12, 2025
2h ago
Baadhi ya wanaharakati kutoka ukanda wa Pwani wameiomba serikali kupunguza idadi ya vizuizi vya kudumu katika barabara kuu eneo hilo la Pwani baada ya malalamishi ya muda kutoka kwa wanaosafiri.