Back to home

Kaunti ya makueni yakarabati zahanati za Nthunguni na Ngiluni

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 12, 2025
2h ago
Wakaazi wa maeneo ya Mtito Andei kaunti ya Makueni ambao wamekuwa wakisumbuliwa na wanyamapori kwa miongo kadhaa sasa wamenufaika na huduma bora za afya kutokana na ukarabati wa zahanati mbili za eneo hilo.