Back to home

Asilimia 60 ya wagonjwa wanaougua saratani wanakamilisha bima yao ya SHA

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 12, 2025
1h ago
Asilimia 60 ya wagonjwa wanaougua saratani wanakamilisha bima yao ya SHA hata kabla ya mwaka kukamilika. Haya yamesemwa na mkurugenzi Mkuu wa Muungano wa mashirika yanayoshughulikia saratani (KENCO), Phoebe Ongadi, alipofika mbele ya kamati ya bunge kuhusu Afya. Ongadi akisema ku