Back to home

Mahakama imebatilisha kifungo Lenolkulal aliyehukumiwa kwenye kesi ya ufisadi wa Ksh 83,000,000

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 12, 2025
2h ago
Mahakama kuu ilimuondolea hatia ya ufisadi aliyekuwa gavana wa Samburu Moses Lenolkulal, kwenye uamuzi uliofutilia mbali kifungo cha miaka minane, kwenye kesi ufisadi wa shilingi milioni 83. Kwenye uamuzi wake, Jaji Benjamin Musyoki, alisema kuwa upande wa mashtaka ulishindwa kut