Back to home

Dkt. Becky Omollo alinusurika saratani ya titi aangaziwa katika makala ya Mwanamke Bomba

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 12, 2025
1h ago
Daktari Becky Omollo aliathirika na saratani ya titi lakini akanusurika na hatari ya ugonjwa huo. Ni kutokana na masaibu ya wanaougua saratani ndio ambapo Dkt Becky ambaye amejitolea kuwalisha, kuwatafutia matibabu kuwafungulia biashara na hata kuwalipia bima ya SHA wagonjwa wa s