Back to home
Mahakama ya Iten yaonya dhidi ya kutatua kesi nyumbani
video
C
Citizen TV (Youtube)November 12, 2025
1h ago
Hakimu Mkuu Katika Mahakama Ya Iten Kaunti Ya Elgeyo Marakwet Gladys Adhiambo, ametaja Kesi zinazoshughulikiwa nyumbani kuwa kikwazo kikuu katika upatikanaji wa haki kwa watoto wanaodhulumiwa katika kaunti hiyo.





