Back to home

Wakazi walalamikia mashamba yao kunyakuliwa katika kaunti za Narok na Migori

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 12, 2025
2h ago
Mzozo katika maeneo ya Gwitembe na Ang’ata Barrakoi katika mpaka wa kaunti za Narok na Migori, unaendelea kusababisha hasara kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo.