Back to home

Walimu 20,000 wa JSS wafanya kazi ya kandarasi nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 12, 2025
2h ago
Walimu wa secondari msingi kutoka kaunti ya Kericho wanataka tume ya kuajiri walimu TSC kuajiri walimu elfu ishirini kwa ajira ya kudumu ili wapate bima ya SHA