Back to home

Wafanyakazi katika Kaunti ya Pokot Magharibi wamegoma na kufunga barabara ya Kitale

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 12, 2025
3h ago
Wafanyakazi zaidi ya 400 wa barabara katika Kaunti ya Pokot Magharibi wamegoma na kufunga barabara ya Kitale kuelekea Kapenguria hadi Lodwar, wakipinga malipo duni na mazingira mabaya ya kazi.