Back to home
Hospitali ya rufaa ya Busia yasema itazika miili isiyochukuliwa
video
C
Citizen TV (Youtube)November 12, 2025
3h ago
Usimamizi wa hospitali ya rufaa ya Busia umetoa makataa ya siku 30 kwa familia za marehemu wanaohifadhiwa katika makafani ya hospitali hiyo, la sivyo miili hiyo itazikwa kwenye kaburi moja.





