Back to home

Kesi ya mauaji ya mfanyakazi wa BBC yasikizwa upya, familia yadayi haki kwa Katherine Mitchell

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 12, 2025
2h ago
Kesi ya mauaji ya mfanyakazi wa shirika la BBC Action Katherine Rowena Mitchelle minne iliyopita imesikizwa leo huku mashahidi wawili wakifika kizimbani. Mahakama ya Kibra ikifahamishwa yaliyojiri kabla ya mauaji yake katika hoteli moja mtaa wa Westlands hapa Nairobi. Familia yak