Back to home
Mwanaume auawa Kirinyaga baada ya kutofautiana kuhusu deni la shilingi hamsini
video
C
Citizen TV (Youtube)November 12, 2025
2h ago
Mwanamume mmoja ameuawa kaunti ya Kirinyaga kutokana na ugomvi wa deni la shilingi hamsini. Inadaiwa kuwa marehemu Jacob Maina alifika nyumbani kwa John Wachira kudai pesa hizo.





