Back to home
Wazee wa kike Nandi waanzisha timu ya soka kuimarisha afya na kupambana na maradhi ya uzee
video
C
Citizen TV (Youtube)November 12, 2025
2h ago
Kundi la kina mama wazee kaunti ya Nandi limeanzisha timu ya soka inayojulikana kama Tegat Grannies Football Club. Timu hiyo inatumia mchezo wa mpira wa miguu kama njia ya kuimarisha afya ya mwili na kukabiliana na maradhi yanayoambatana na uzee





