Back to home
Walimu wanagenzi wa sekondari msingi wanaitaka TSC kuwapa kandarasi za kazi za kudumu
video
C
Citizen TV (Youtube)November 14, 2025
2h ago
Walimu wa sekondari msingi kaunti ya Kilifi wanaendelea kuishinikiza tume ya kuwaajiri walimu TSC kuwapa kandarasi za kudumu la sivyo hawatarejea kazini mwaka ujao.Walimu hao wanadai kuwa wamekuwa wakifanya kazi sawia na walimu wenzao walioajiriwa ilhali malipo wanayopata ni duni





