Back to home

Wakulima wa kahawa Tetu wanailaumu walalamikia wizi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 14, 2025
2h ago
Wakulima wa kahawa vijijini Gititu, thage-ini na Wachuri Huko Tetu kaunti ya Nyeri, wamelalamikia utepetevu wa asasi za usalama kuwasaka na kuwakamata watu wanaoendelea kuwahangaisha kwa kuiba kahawa mashambani kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa