Back to home

Familia ya mlinzi aliyeuwawa akiwa kazini Eneo Bunge la Tongaren yadai haki

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 14, 2025
2h ago
Familia ya mlinzi aliyeuwawa akiwa kazini eneo bunge la tongaren, bungoma imeelezea kutoridhishwa na jinsi idara ya upelelezi inavyoendeleza uchunguzi kufuatia mauaji hayo ya kinyama.