Back to home
Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya alalamikia semi za chuki kwenye kampeni
video
C
Citizen TV (Youtube)November 14, 2025
2h ago
Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya, ambaye pia ni Naibu Kinara wa chama cha DAP-Kenya, amelalamikia utepetevu katika idara ya polisi pamoja na tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa - NCIC





