Back to home

Mwigulu Nchemba aapishwa kama waziri mkuu mpya wa Tanzania

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 14, 2025
1h ago
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, amemwapisha rasmi Mwigulu Nchemba kuwa waziri mkuu mpya wa tanzania kwa muhula wa kwanza wa miaka mitano.