Back to home
Kaunti ya Makueni yazindua sera ya kuongoza ushirikiano
video
C
Citizen TV (Youtube)November 14, 2025
2h ago
Serikali ya Kaunti ya Makueni imezindua Sera Mpya inayotoa mwongozo wa ushirikiano kati ya serikali ya kaunti hiyo na wawekezaji kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo. Gavana wa kaunti hiyo Mutula Kilonzo Jr anasema mashirika sasa yana nafasi kubwa ya kushirikisha kaunti kwenye




