Back to home
Shamrashamra za Inooro @10
video
C
Citizen TV (Youtube)November 14, 2025
2h ago
Shamrashamra za kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwa runinga ya Inooro zinaendelea katika ukanda wa Kati. Wakazi wa kaunti za Embu, Kirinyaga na Nyeri wamepata nafasi ya kipekee kupokea uhondo huo unaoongozwa na watangazaji wa Inooro TV. Kampuni ya Royal Media Services imean




