Back to home
Familia moja Timau yataka NLC kuingilia kati ili kutatua mzozo wa umiliki wa ardhi ya ekari 70
video
C
Citizen TV (Youtube)November 14, 2025
2h ago
Familia Moja eneo la Timau mpakani mwa kaunti za Laikipia na Meru inaililia tume ya Ardhi nchini kutatua mzozo wa umiliki wa ardhi ya ekari 70 uliopo baina Yao na serikali ya kaunti ya Meru.





