Back to home
Wadau katika idara ya uchukuzi waelezea wasiwasi wao kutokana na kuongezeka kwa ajali za barabarani
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 14, 2025
2h ago
wadau katika idara ya uchukuzi wameelezea wasiwasi wao kutokana na kuongezeka kwa idadi ya ajali za barabarani zinazohusisha wapita njia katika eneo la Kiambu, ikichangiwa pakubwa na kushindwa kutumia vituo vilivyotengwa na daraja za miguu.
Subscribe and watch NTV Kenya live for





