Back to home

Familia moja eneo la Ugunja lapewa agizo la kuhama kwenye ardhi ambayo imekuwa nyumbani kwa miaka 68

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 14, 2025
2h ago
Familia moja katika eneo la Ugunja, kaunti ya Siaya, inaishi kwa hofu kuu baada ya kupewa agizo la mahakama kuwa wanastahili kuwaondoka kwenye ardhi ambayo imekuwa nyumbani kwa takribani miaka 68. Familia hiyo ya jamaa zaidi ya hamsini, inadai kuwa uamuzi huo umeenda kinyume na h