Back to home

Makueni: Wakaazi waendeleza shughuli za uchimbaji haramu wa mchanga

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 14, 2025
1h ago
Dunia ya sasa inapoendelea kukabiliwa na changamoto na madhara ya mabadiliko ya tabianchi, katika baadhi ya maeneo ya Kaunti ya Makueni wakaazi wanaendeleza shughuli za uchimbaji haramu wa mchanga. Hata baada ya serikali ya kaunti ya Makueni kuweka sheria za kuzuia shughuli hiyo,