Back to home

Polisi wanasaka majibu baada ya mhudumu wa bidhaa mtandaoni kuuawa Nairobi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 19, 2025
1w ago
Polisi wanachunguza kisa ambapo mhudumu mmoja anayefanya kazi ya kuwasilisha bidhaa zilizonunuliwa mtandaoni alipatikana ameuwawa kikatili mtaani South B, hapa Nairobi. Mwili wa Anthony Otieno ulipatikana chini ya kitanda katika jengo moja mtaani humo, ukiwa na damu nyingi na ume