Back to home
Msimamo wa chama cha walimu wa sekondari msingi wasema walimu wa JSS wana mahitaji ya kipekee
video
C
Citizen TV (Youtube)November 28, 2025
1w ago
Chama cha Walimu wa Shule za sekondari msingi, KEJUSTA, kimejitokeza tena kutaka uhuru kamili wa Shule hizo, kikisema wanafunzi na walimu wa JSS wana mahitaji ya kipekee yanayohitaji uongozi maalum. Katika taarifa yao, chama hicho kimezitaka KUPPET, TSC, Wizara ya Elimu na Rais k
Advertisement





