Back to home
Wasichana 20 wapewa mafunzo ya kushona nguo Kwale
video
C
Citizen TV (Youtube)December 2, 2025
3h ago
Wasichana 20 wamenufaika na mafunzo ya ushonaji bila malipo na kukabidhiwa cherahani na vifaa vingine vya ushonaji katika chuo cha ufundi cha Washa Taa huko Diani kaunti ya Kwale.





