Back to home

Wataalamu wawashauri Wakenya kula vyakula vya mimea

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 2, 2025
1h ago
Wakereketwa wa afya huko Kilifi wamewahimiza Wakenya kugeukia lishe zinazotokana na mimea ya asili ili kupunguza magonjwa yanayohusishwa na lishe mbaya .